Namna ya kujiunga

Namna ya Kujiunga na Chama

Mtumishi yeyote wa Shirika la umeme nchini Tanzania anaweza kujiunga na chama hiki kwa kiingilio cha Tshs 85,000/= na kuanza kununua hisa kidogokidogo au kwa mkupuo kadiri ya uwezo wake mpaka atakapomaliza Idadi ya hisa zote zinazohitajika kwa ajili ya umiliki wa chama na atakapomaliza atapatiwa Cheti Cha Umiliki wa Hisa TANESCO MBEYA SACCOS LTD.

Pakua Fomu za kujiunga hapa chini

Title Type Size Updated Link
pdf
424 KB
May 29, 2025
pdf
350 KB
Jan 14, 2025
pdf
381 KB
Jan 14, 2025