Mkopo wa sikukuu ni kwa kila mwanachama ambaye anataka kujiandaa vema wakati wa maandalizi ya sikukuu za aina zote kubwa na ndogo.