Mkopo wa vifaa vya ndani (Homesets)

Mkopo wa home sets unatoa fursa kwa mwanachama  kununua kifaa chochote cha matumizi ya ndani kama vile jokofu, sofa, simu na samani zingine za ndani.

  1. Mwanachama atakopa Kima cha juu cha mkopo ni 5,000,0000/=)
  2. Muda wa marejesho ni miezi 6 hadi 15, riba ya mkopo ni 1% kwa mwezi