Mkopo wa Vacation

Mkopo wa vacation

Mkopo wa vacation unatoa nafasi kwa mwanachama na familia au yeye peke yake kufanya safari ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii ndani ya nchi ya Tanzania kwa kipindi cha mapumziko.

  1. Mwanachama atakopa Kima cha juu cha mkopo ni 7,000,000/= Nauli kwenda na kurudi mwanachama+ mke/mume na wanafamilia.
  2. Muda wa marejesho ni miezi 3 hadi 18, riba ya mkopo ni 1.2% kwa mwezi