Mkopo wa Ukarimu

  • Mkopo huu unatolewa kwa wanachama wapya waliojiunga na chama kwa mara ya kwanza.
  • Kiasi cha juu cha kukopa ni shilingi 1,000,000/=
  • Muda wa marejesho ni miezi 6 hadi miezi 12.
  • Riba ya mkopo huu ni 1.4% kwa mwezi.