Mkopo wa miliki Chopa
Mkopo wa miliki Chopa unamuwezesha mwanachama kununua gari, trekta, powertiller, bajaji au pikipiki kupitia mkopo. Mkopo huu mwanachama anaunganishwa na wakala anayetumiwa na chama na kuchagua chombo anachokitaka. Kupitia mkopo huu mwanachama ana nafasi kubwa kuchagua chombo chake kikiwa katika ubora wa hali ya juu sana.
- Mwanachama atakopa kuanzia 3,000,000 hadi 30,000,0000
- Muda wa marejesho ni miezi 12 hadi 48, riba ya mkopo ni 1% kwa mwezi
