Mkopo wa Kiwanja

 

Mkopo wa kiwanja ni fursa anayopata mwanachama kumiliki kiwanja kwa kulipia gharama za umiliki kwa mkopo wa kiwanja.

  1. Mwanachama atakopa kuanzia 1,500,000 hadi 15,000,0000
  2. Muda wa marejesho ni miezi 6 hadi 36, riba ya mkopo ni 1% flat rate kwa mwezi