Mkopo wa CHAPCHAP

Mkopo wa CHAPCHAP unatolewa haraka kwa mwanachama anayehitaji kutatua matatizo yanayohitaji utatuzi wa haraka ”CHAPCHAP” mwanachama anapopatwa na tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka anatoa taarifa chamani mara moja na kujaza fomu maalumu kwa ajili ya mkopo huu na atapatiwa mkopo huu chapchap. Kiasi cha juu cha mkopo huu ni Tshs 300,000/= na utarejeshwa kwa fedha Taslim/Bank standing order ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. Riba ya mkopo huu asilimia 10% ya mkopo.

Section Title