Kuinua na kuimarisha hali ya uchumi na kijamii ya Wanachama wetu kwa kufuata misingi ya demokrasia, kanuni na taratibu za vyama vya ushirika kwa kuhamasisha wanachama wake kujenga tabia ya kujiwekea akiba.