HISA
- Hisa huwakilisha sehemu ya umiliki wa chama.
- Mwanahisa ana haki ya kupata gawio kutoka kwenye faida kwa kiwango kilichoamriwa kigawiwe na mkutano mkuu.
- Mwanahisa ana haki ya kupiga kura kwenye mkutano mkuu wa chama kulingana na taratibu za chama.
- Mwanachama atachangia hisa kila mwezi kwa kiwango cha Tshs 20,000/=
Idadi ya hisa mwanachama anazotakiwa kununua ni hisa 25 ikiwa thamani ya hisa moja ni Tshs 20,000/=
