Dira na Dhima
- LENGO KUU
Kuwa asasi ya huduma za kifedha iliyo endelevu na yenye uwezo mkubwa wa kuboresha hali ya ustawi kiuchumi kwa wafanyakazi wa Shirika la umeme Tanzania TANESCO. - MAONO
Kutoa bidhaa mbalimbali za fedha kwa masharti na gharama nafuu kwa wanachama ili waweze kushiriki Zaidi kuimarisha mitaji ya chama na mitaji yao binafsi na kuleta mvuto kwa watumishi wa TANESCO wasio wanachama kujiunga na chama. - DIRA
Kuwezesha kukuza Ushirika wa Akiba na Mikopo unaotoa huduma bora za kifedha ambazo ni nafuu, rahisi zinazokidhi na kuridhisha kwa wanachama na jamii kwa ujumla.
