AKIBA
Hiki ni kiasi cha fedha ambacho mwanachama anajiwekea katika akaunti yake mara kwa mara kwa ajili ya kukidhi mahitaji yake ya baadaye kwa kadri ya uwezo wake. Mwanachama anaweza kujiwekea michango hii kutoka kwenye mishahara au fedha taslimu.
SIFA NA FAIDA ZA AKIBA
- Haina gharama za uendeshaji .
- Humuwezesha mwanachama kukopa hadi mara tatu ya akiba aliyojiwekea.
- Huduma hii humuwezesha mwnachama kujenga tabia ya kujiwekea akiba mara kwa mara (saving culture) .
- Mwanachama hataruhusiwa kupunguza akiba zake chamani isipokuwa amekoma uanachama
