WASTAAFU MAOKOTO
Ni mfuko maalum wa uwekezaji wa wakujiandaa na kustaafu utakaoweza kuwasaidia kufurahia maisha baada ya kustaafu kazi.
Tanesco Mbeya saccos inatoa huduma ya Wastaafu Maokoto kwa viwango, muda na faida kama vifuatavyo:
- Kiwango cha kuwekeza ni kuanzia 10,000,000/=
- Riba ni 2% kwa mwezi
SIFA NA VIGEZO VYA AKAUNTI HII
- Kwa kuwekeza 10m utapokea 200,000 kila mwezi
- Muda wa kuwekeza ni kuanzia miaka 2
- Ili mwanachama aweze kunufika na riba, Amana inatakiwa ikae kwa kipindi cha kuanzia miezi 6
- Mwanachama hataruhusiwa kuvunja mkataba wake mpaka muda wa mawekezo utakavyoisha.
MAOMBI
- Muombaji anatakiwa kuwa mwanachama wa TMS
- Atajaza fomu na maktaba utakaopatikana ofisi za chama
FAIDA ZA MAWEKEZO YA KUSTAAFU AKAUNTI
- Utapokea faida kila mwezi
- Riba kubwa ya kishindani
- Uhakika wa kupata faida ya uwekezaji kwa kipindi utakachowekeza
- Ina Vipindi tofauti unavyoweza kuchagua kuwekeza
- Unaruhusiwa kuongeza kiasi cha uwekezaji kadri uwezavyo kwa muda tofauti
- Fedha za mteja zipo salama wakati wote
- Hakuna makato ya kila mwezi
