TANESCO MBYEA SACCOS / MKUTANO MKUU/2024 Tarehe: 26/10/2024 Wawakilishi wote, Mkutano Mkuu wa Mwaka, TANESCO MBEYA SACCOS LTD.
YAH: TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA ISHIRINI WA MWAKA 2024 Bodi ya Chama inawatangazia wanachama wote na wawakilishi wa Mkutano Mkuu kuwa mkutano wa mwaka utakuwa kwa tarehe tajwa hapo juu.
