Mkopo wa Maendeleo

Mkopo wa maendeleo ni mkopo ambao mwanachama anakopa kwa ajili ya kufanya shughuli za maendeleo yake binafsi kama, Ujenzi wa nyumba ya kuishi na ya kibiashara, Ununuzi wa rasilimali mbalimbali kama Gari, viwanja mashamba pamoja na Uwekezaji kama kununua Hati fungani, ufunguzi wa Biashara, kilimo ufugaji au Viwanda kwa ajili ya kumuongezea mwanachama kipato hivyo kuongeza ukuaji wa kiuchumi wa mwanachama.

Riba ya mkopo huu ni 1.1% kwa mwezi.