Mkopo wa weekend booster

Mkopo wa weekend booster unampa ustawi mzuri mwanachama kila anapoelekea mapumziko ya mwisho wa wiki kwa kuwa na uhakika wa fedha ya kutosheleza mahitaji yote yanajitokeza wakati wa mapumziko.