Mkopo wa Kiwanja
Mkopo wa kiwanja ni fursa anayopata mwanachama kumiliki kiwanja kwa kulipia gharama za umiliki kwa mkopo wa kiwanja.
- Mwanachama atakopa kuanzia 1,500,000 hadi 15,000,0000
- Muda wa marejesho ni miezi 6 hadi 36, riba ya mkopo ni 1% flat rate kwa mwezi
