Ushuhuda wa Wateja

Tanesco Mbeya Saccos limited kiukweli ni saccos ambayo imekuwa kimbilio langu kubwa kuanzia mkopo wa dharura, elimu na maendeleo. Imekuwa sehemu yangu kubwa na ya kwanza kukimbilia ninapopata shida yeyote ambayo inahitaji fedha. Mikopo yangu yote imekuwa ikipatikana kwa haraka mara tu baada ya kujaza fomu. Najivunia sana kuwa mwanachama wa Tanesco Mbeya Saccos.
Michael Alfredy Aidan
Huduma ni nzuri hasa napenda huduma ya chap chap jinsi inavyofanyika kwa uharaka customer service ni nzuri sana kutoka kwa watenda kazi.
Gabriel Mwainyekule
Natoa pongezi zangu za kutosha kwa huduma nzuri na kwa wakati. Naomba hii kasi izidi kuongezeka Zaidi na kuboresha bidhaa zetu Zaidi na Zaidi.
Anselem Lumato

25

Miaka ya Huduma

2000+

Wanachama

12+

Bidhaa za mikopo